Ufafanuzi wa ulizia katika Kiswahili

ulizia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    tafuta habari kuhusu kitu au jambo fulani kutoka kwa watu.

Matamshi

ulizia

/ulizija/