Ufafanuzi wa ulowezi katika Kiswahili

ulowezi

nominoPlural ulowezi

  • 1

    hali ya kuweka maskani mahali pengine tofauti na mahali pako pa awali.

Matamshi

ulowezi

/ulɔwɛzi/