Ufafanuzi msingi wa uma katika Kiswahili

: uma1uma2uma3

uma1

nominoPlural nyuma

  • 1

    kitu mfano wa kijiko chenye menomeno kama reki kinachotumiwa kwa kulia chakula.

Matamshi

uma

/uma/

Ufafanuzi msingi wa uma katika Kiswahili

: uma1uma2uma3

uma2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    shika na bana kwa meno.

Matamshi

uma

/uma/

Ufafanuzi msingi wa uma katika Kiswahili

: uma1uma2uma3

uma3

kitenzi sielekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    pata maumivu; pata uchungu k.v. kwa jeraha au kuvunjika kiungo.

Matamshi

uma

/uma/