Ufafanuzi wa umaizi katika Kiswahili

umaizi

nominoPlural umaizi

  • 1

    hali ya kung’amua jambo fulani.

Matamshi

umaizi

/umajizi/