Ufafanuzi wa umamluki katika Kiswahili

umamluki

nominoPlural umamluki

  • 1

    mwenendo wa maisha ambapo mtu hutumiwa kufanya kazi yoyote hata ikiwa ya uharibifu ili mradi alipwe pesa.

Asili

Kar

Matamshi

umamluki

/umamluki/