Ufafanuzi wa Umarksi katika Kiswahili

Umarksi

nominoPlural Umarksi

  • 1

    itikadi ya kisiasa na kiuchumi iliyobuniwa na Mjerumani, Karl Marx, ambayo inataka njia kuu za uchumi zimilikiwe na umma.

Asili

Kng

Matamshi

Umarksi

/umarksi/