Ufafanuzi wa umaskini katika Kiswahili

umaskini

nominoPlural umaskini

  • 1

    hali ya kukosa mali.

    ufukara, ukata, uhitaji, uhumo, utaiti

Asili

Kar

Matamshi

umaskini

/umaskini/