Ufafanuzi wa umbali katika Kiswahili

umbali

nomino

  • 1

    kitambo cha kutoka mahali fulani hadi mahali pengine.

    mbali, kitambo, kitalifa, masafa

Matamshi

umbali

/umbali/