Ufafanuzi wa umbile katika Kiswahili

umbile

nomino

  • 1

    jinsi kitu kilivyo; umbo au tabia ya kitu.

Matamshi

umbile

/umbilÉ›/