Ufafanuzi wa umbua katika Kiswahili

umbua

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    toa mtu au kitu thamani yake; shushia heshima au hadhi.

    dunisha, aibisha, adhiri, tehemu, beza, dharau

  • 2

    haribu kilichoumbwa.

    daathari

Matamshi

umbua

/umbuwa/