Ufafanuzi wa umia katika Kiswahili

umia

kitenzi sielekezi~za

  • 1

    pata majeraha au vunjika kiungo kutokana na ajali.

Matamshi

umia

/umija/