Ufafanuzi wa umimi katika Kiswahili

umimi

nominoPlural umimi

  • 1

    tabia au tendo la mtu kujithamini yeye mwenyewe tu na kujiweka mbele siku zote.

    ubinafsi

Matamshi

umimi

/umimi/