Ufafanuzi wa umuhimu katika Kiswahili

umuhimu

nomino

  • 1

    hali inayofanya kitu au jambo fulani lihitajike katika jamii.

Matamshi

umuhimu

/umuhimu/