Ufafanuzi wa umwagaji katika Kiswahili

umwagaji

nomino

  • 1

    hali ya kumwaga kitu.

Matamshi

umwagaji

/umwagaʄi/