Ufafanuzi wa umwagiliaji katika Kiswahili

umwagiliaji

nominoPlural umwagiliaji

  • 1

    usambazaji wa maji kwa mifereji au mabomba ili kulowanisha ardhi au kutia mimea maji.

Matamshi

umwagiliaji

/umwagilijaʄi/