Ufafanuzi wa umwinyi katika Kiswahili

umwinyi

nominoPlural umwinyi

  • 1

    hali ya kupenda kukaa bila kufanya kazi.

  • 2

    mfumo wa kiuchumi ambao wenye mashamba, walowezi au wanaomiliki ardhi huwalimisha wengine kwa ujira wa mavuno.

Asili

Kar

Matamshi

umwinyi

/umwiɲi/