Ufafanuzi msingi wa unane katika Kiswahili

: unane1unane2

unane1

nominoPlural nane, Plural unane

Matamshi

unane

/unanɛ/

Ufafanuzi msingi wa unane katika Kiswahili

: unane1unane2

unane2

nominoPlural nane, Plural unane

  • 1

    hali ya mtu kuwa mwembamba na dhaifu.

    ufyefye

Matamshi

unane

/unanɛ/