Ufafanuzi wa unene katika Kiswahili

unene

nomino

  • 1

    hali ya kitu au mtu kutuna au kujaa; kinyume cha wembamba.

Matamshi

unene

/unɛnɛ/