Ufafanuzi wa ung’ongo katika Kiswahili

ung’ongo

nominoPlural ng’ongo

  • 1

    kipande cha uchane chenye ununu au ukongonyanzi ambacho hutumiwa kwa kusukia madema au kufungia vitu k.v. fito wakati wa ujenzi.

    utangule

Matamshi

ung’ongo

/uŋɔngɔ/