Ufafanuzi msingi wa unga katika Kiswahili

: unga1unga2

unga1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    kutanisha au shikanisha pamoja vitu vilivyo mbalimbali kwa kutumia kamba, misumari, n.k..

Ufafanuzi msingi wa unga katika Kiswahili

: unga1unga2

unga2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    tia viungo katika chakula au mchuzi, hasa wakati wa kukaanga.

Matamshi

unga

/unga/