Ufafanuzi wa ungamisha katika Kiswahili

ungamisha

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~wa

Kidini
  • 1

    Kidini
    fanya mtu aombe msamaha k.v. afanyavyo padri kwa waumini wa kanisa lake.

Matamshi

ungamisha

/ungami∫a/