Ufafanuzi wa ungana katika Kiswahili

ungana

kitenzi sielekezi

  • 1

    fanya shughuli k.v. za siasa au uchumi pamoja na mtu au watu wengine.

Matamshi

ungana

/ungana/