Ufafanuzi wa unganisha katika Kiswahili

unganisha

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    funga vitu kwa kamba, misumari, gundi, n.k. ili kufanya viwe kitu kimoja.

Matamshi

unganisha

/ungani∫a/