Ufafanuzi wa ungua katika Kiswahili

ungua

kitenzi sielekezi

  • 1

    teketea kwa moto.

    chomwa, chomeka, waka

Matamshi

ungua

/unguwa/