Ufafanuzi wa Unguja katika Kiswahili

Unguja

nominoPlural Unguja

  • 1

    kisiwa kikubwa kilichopo pwani ya Afrika Mashariki kusini ya kisiwa cha Pemba na mashariki ya Bagamoyo.

Matamshi

Unguja

/unguʄa/