Ufafanuzi wa unguza katika Kiswahili

unguza

kitenzi elekezi

  • 1

    choma kwa moto au joto; teketeza kwa moto.

Matamshi

unguza

/unguza/