Ufafanuzi wa ununu katika Kiswahili

ununu

nominoPlural nunu

  • 1

    uzi unaotoka katika kumbi la mnazi.

Matamshi

ununu

/ununu/