Ufafanuzi wa unyakuzi katika Kiswahili

unyakuzi

nominoPlural unyakuzi

  • 1

    hali ya kunyakua.

  • 2

    tabia ya wizi.

Matamshi

unyakuzi

/uɲakuzi/