Ufafanuzi msingi wa unyambi katika Kiswahili

: unyambi1unyambi2

unyambi1

nominoPlural unyambi

  • 1

    uzuiliaji wa jambo au kitu makusudi ili mwingine asipate.

    inda

Matamshi

unyambi

/uɲambi/

Ufafanuzi msingi wa unyambi katika Kiswahili

: unyambi1unyambi2

unyambi2

nominoPlural unyambi

  • 1

    ujasiri wa kufanya mambo yasiyokuhusu.

Matamshi

unyambi

/uɲambi/