Ufafanuzi wa unyapara katika Kiswahili

unyapara

nomino

  • 1

    kazi ya kuangalia utekelezaji wa kazi.

    usimamizi

Matamshi

unyapara

/uɲapara/