Ufafanuzi wa unyeleo katika Kiswahili

unyeleo

nominoPlural nyeleo

  • 1

    kijitundu kwenye ngozi ya binadamu ambacho husaidia kuondoa takataka mwilini kwa njia ya jasho.

    unyeo

Matamshi

unyeleo

/uɲɛlɛɔ/