Ufafanuzi wa unyende katika Kiswahili

unyende

nomino

  • 1

    mlio mkali sana unaotolewa kwa sababu ya hofu.

    ukelele, siahi, unyange