Ufafanuzi wa unyonyaji katika Kiswahili

unyonyaji

nominoPlural unyonyaji

  • 1

    hali au tabia ya mtu kupata mapato bila ya kutumia jasho lake.

    ukupe

  • 2

    namna au jinsi ya kunyonya.

Matamshi

unyonyaji

/uɲɔɲaʄi/