Ufafanuzi wa unyoya katika Kiswahili

unyoya

nominoPlural manyoya

  • 1

    unywele laini unaomea mwilini mwa ndege na mnyama.

    ugoya

Matamshi

unyoya

/uɲɔja/