Ufafanuzi wa unywaji katika Kiswahili

unywaji

nomino

  • 1

    namna au jinsi ya kunywa.

Matamshi

unywaji

/uɲwaʄi/