Ufafanuzi wa unywanywa katika Kiswahili

unywanywa

nomino

  • 1

    hali ya kuona kinyaa.

Matamshi

unywanywa

/uɲwaɲwa/