Ufafanuzi wa unywele katika Kiswahili

unywele

nomino

  • 1

    laika au usinga unaoota mwilini, agh. kichwani, mwa binadamu.

Matamshi

unywele

/uɲwɛlɛ/