Ufafanuzi wa uo katika Kiswahili

uo

nominoPlural nyuo

  • 1

    kitu aina ya mfuko ambamo kisu au upanga huhifadhiwa.

    ala

Matamshi

uo

/uwɔ/