Ufafanuzi wa uogeleaji katika Kiswahili

uogeleaji

nomino

  • 1

    namna ya kuogelea.

Matamshi

uogeleaji

/uwɔgɛlɛjaʄi/