Ufafanuzi wa uogopaji katika Kiswahili

uogopaji

nomino

  • 1

    hali au namna ya kuogopa.

    uchaji

Matamshi

uogopaji

/uwɔgɔpaʄi/