Ufafanuzi wa uokozi katika Kiswahili

uokozi

nomino

  • 1

    namna ya kumuokoa mtu, mnyama au kitu fulani dhidi ya janga.

Matamshi

uokozi

/uwɔkɔzi/