Ufafanuzi wa uongozi katika Kiswahili

uongozi

nominoPlural uongozi

  • 1

    madaraka anayopewa mtu ya kusimamia shughuli au asasi.

Matamshi

uongozi

/uwɔngɔzi/