Ufafanuzi msingi wa upamba katika Kiswahili

: upamba1upamba2upamba3

upamba1

nominoPlural upamba, Plural pamba

  • 1

    pamba inayotoswa kwenye tui la kwanza na kuwekwa kwenye utosi wa mtoto ili kumtibu.

Matamshi

upamba

/upamba/

Ufafanuzi msingi wa upamba katika Kiswahili

: upamba1upamba2upamba3

upamba2

nominoPlural upamba, Plural pamba

  • 1

    kisu kidogo cha ukengee, agh. hutumiwa na wagemaji au wasuka vikapu.

Matamshi

upamba

/upamba/

Ufafanuzi msingi wa upamba katika Kiswahili

: upamba1upamba2upamba3

upamba3

nominoPlural upamba, Plural pamba

  • 1

    upembe wa nguruwe mwitu.

Matamshi

upamba

/upamba/