Ufafanuzi wa upandaji katika Kiswahili

upandaji

nomino

  • 1

    namna au jinsi ya kupanda.

Matamshi

upandaji

/upandaŹ„i/