nominoPlural patu, Plural upatu
- 1
chombo cha madini ya chuma, agh. chenye umbo la sinia, kinachofunikwa kwenye kitu kingine na kupigwa wakati wa ngoma.
- 2
chombo kinachowekwa kwenye sherehe ili kuwekea zawadi k.v. pesa.
nominoPlural patu, Plural upatu
- 1
fedha au kitu chochote kinachokusanywa kwenye sherehe na kutolewa kuwa ni zawadi kwa wanaohusika.
nominoPlural patu, Plural upatu
- 1
utaratibu wa kuchangishana fedha na kupeana kwa zamu.
‘Upatu wa maridadi, wakusanya kila pembe’‘Cheza upatu’