Ufafanuzi wa upeketevu katika Kiswahili

upeketevu

nominoPlural upeketevu

  • 1

    tabia ya uchokozi ama kwa maneno au kwa matendo.

    ufidhuli

Asili

Kar

Matamshi

upeketevu

/upɛkɛtɛvu/