Ufafanuzi wa upekuzi katika Kiswahili

upekuzi

nominoPlural upekuzi

  • 1

    hali ya kutafutatafuta mambo.

    upelelezi, sachi, speksheni, udadisi

Matamshi

upekuzi

/upɛkuzi/