Ufafanuzi wa upelekaji katika Kiswahili

upelekaji

nominoPlural upelekaji

  • 1

    namna au jinsi ya kupeleka.

  • 2

    kazi za kusafirisha vitu.

Matamshi

upelekaji

/upɛlɛkaʄi/