Ufafanuzi wa upelelezi katika Kiswahili

upelelezi

nominoPlural upelelezi

  • 1

    kazi au elimu ya kutafiti mambo ya siri.

    udadisi, upekuzi, sachi, speksheni

  • 2

    hali au tabia ya kuchunguza jambo lisilokuhusu.

Matamshi

upelelezi

/upɛlɛlɛzi/