Ufafanuzi wa upembe katika Kiswahili

upembe

nominoPlural pembe

  • 1

    sehemu ngumu kama kipi inayoota kwenye kichwa cha mnyama k.v. mbuzi, ng’ombe au paa.

  • 2

    ncha juu ya tanga katika foromali.

Matamshi

upembe

/upɛmbɛ/